Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Kamati Tendaji ya maandalizi ya Maadhimisho ya Sherehe za miaka 60 ya Muungano kilichofanyika leo Februari 8, 2024 Ukumbi wa mikutano wa ofisi yake jijini Dodoma.