Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) bungeni leo


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akiwasili bungeni kushiriki katika Bunge la 12 Mkutano wa 14, kikao cha Tano Jijini Dodoma Februari 5, 2024.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Mbunge wa Same Mashariki Mhe. Anne Kilango Malecela wakati wa Bunge la 12 Mkutano wa 14, kikao cha Tano Jijini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akisalimiana na Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Dkt. Jim Yonazi alipowasili bungeni kushiriki vikao vya Bunge la 12 Mkutano wa 14 kikao cha Tano Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akiwasili bungeni Dodoma, wakati wa Bunge la 12 Mkutano wa kumi na nne kikao cha Tano Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akiwa katika picha ya pamoja na rais wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Bw. Shafii Rajabu Juma (kushoto) na Waziri wa Afya na Mazingira Chuo cha Uhasibu Arusha Bi.Edna Melody Yonazi (kulia) nje ya ukumbi wa Jijini Dodoma kabla ya kuingia katika ukumbi wa bunge jijini Dodoma.
Uongozi wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha akiwemo rais wa Chuo hicho Bw. Shafii Rajabu Juma (kushoto) na Waziri wa Afya na Mazingira wa Chuo hicho Bi. Edna Melody Yonazi (kulia) wakiwa bungeni Jijini Dodoma wakati wa Bunge la 12 Mkutano wa Kumi na Nne, kikao cha Tano.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga (wa kwanza kushoto), Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (kulia kwake), Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dorothy Gwajima (wa kwanza kulia) na Naibu wake Mhe. Mwanaidi Ali Khamis (wa pili kutoka kulia) wakati wa bunge la 12 Mkutano wa Kumi na Nne, kikao cha Tano jijini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akimsikiliza Naibu Waziri Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani bungeni vikao vya Bunge la 12 Mkutano wa 14 kikao cha Tano jijini Dodoma.
Rais wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Bw. Shafii Rajabu Juma (kushoto) na Waziri wa Afya na Mazingira wa Chuo hicho Bi. Edna Melody Yonazi (kulia) wakitambulishwa na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu (hayupo pichani) walipohudhuria bungeni Jijini Dodoma wakati wa Bunge la 12 Mkutano wa Kumi na Nne, kikao cha Tano.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga (wa pili kutoka kushoto), Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi (wa tatu kutoka kushoto),rais wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Bw. Shafii Rajabu Juma (katikati) na Waziri wa Afya na Mazingira wa Chuo cha Uhasibu Arusha Bi. Edna Melody Yonazi (wa pili kutoka kulia) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuhudhuria bungeni Jijini Dodoma wakati wa Bunge la 12 Mkutano wa Kumi na Nne, kikao cha Tano. (Picha na OWM).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news