Picha za Rais Museveni, Ruto na Odinga shambani kwake zazua gumzo leo


"Nimefurahi kukutana na Rais Ruto (Rais wa Jamhuri ya Kenya, Dkt.William Samoei Ruto) na mstaafu Mheshimiwa Odinga (Raila Amolo Odinga) mchana huu katika shamba langu huko Kisozi.
"Tulijadili masuala yenye maslahi kati ya nchi zetu mbili na Jumuiya ya Afrika Mashariki. Nimewakaribisha,"Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni leo Februari 26,2024 kupitia mtandao wa X.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

2 Comments

  1. Kaz njemaa na nzur mkuu Mola akubarik sana, tuombeane Uzima na mafanikio katika maisha na tuuone ufalme wake Mola

    ReplyDelete
  2. Kiukwel Kaz nzuri tupo pamoja tuombeane Uzima,kikubwa pumzii

    ReplyDelete
Previous Post Next Post

International news