Rais Dkt.Samia asaini kitabu cha maombolezo Ubalozi wa Namibia


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Dkt. Hage G. Geingob. Rais Samia alisaini Kitabu hicho katika Ofisi za Ubalozi huo Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi na Watumishi wa Ofisi ya Ubalozi wa Namibia mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo katika ofisi za Ubalozi huo Masaki jijini Dar es Salaam tarehe 7 Februari, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news