Urejesho TV:Nukuu muhimu kwa wachungaji wa Kenya kutoka kwa Mchungaji Benny Hinn

NAIROBI-Wakati Urejesho TV Afrika ya Balozi wa Amani Duniani, Mtume Dkt.Peter Nyaga ikiendelea kurusha mubashara matangazo ya mkutano wa injili wa Mchungaji Benny Hinn kutoka Nairobi, Kenya hizi hapa ni nukuu muhimu kwa wachungaji wa Kenya kutoka kwa Benny Hinn.
*SIJAJA KUFANYA MIUJIZA KENYA, KWANI HILO NI JAMBO NDOGO SANA KWANGU.

*LAKINI NIKO NA JITIHANDA YA KUMALIZA KAZI HII SALAMA IKIWA NA NGUVU KULIKO NILIVYO ANZA.

*HUENDA NISIRUDI KENYA TENA KWA HIYO MIMI NIKO HAPA ILI NIMALIZE SAFARI YANGU SALAMA.

*Sitaki siku hiyo nikose kumuona Yesu itakuwa ni faida gani nihubirie watu mamillioni na mimi nikose kumuona haina haja.

*Hamna haja ya majina makubwa la hasha ! Je nyinyi wachungaji mnataka mmalizie mwendo salama? Kama hili ndilo ombi lako njoo hapa tuombe pamoja.

*NIMECHOKA NA WATU WANAOTAKA KUHISI,WATU WANAOSEMA WANATAKA KUHISI UWEPO NIMECHOKA NA HIYO.

*SWALI MUHIMU NI JE? ATATUKUBALI SIKU HIYO,JE MAISHA YETU YATAHESABIKA SIKU HIYO?.

*KUNA BENNY HINN WENGI PALE NJE WANAOJIFANYA, HUWA NAWAITA BENNY HIHINN NAOJIFANYA.

*SIKILIZA KUNA MMOJA PEKEE AMBAYE NI MIMI NA HUYU BENNY HINN NI YULE ALIYEPATA SEHEMU YA PILI AMECHOKA NA WATU WANAOSEMA ANATAKA UPAKO KAMA WAKO.

*MIMI SINA UPAKO NA SIO WANGU WA KUPEANA KAMA NAWEZA KUKUPA KITU KIMOJA FANYA UAMUZI KUWA UTAMPENDEZA SIKU ZAKO ZOTE ZA MAISHA YAKO.

*NAKUPA YESU, KWANI YESU NI YOTE NA KATIKA VYOTE NA SIO UPAKO WANGU YEYE NDIYE MWENYE UPAKO.

*NIMEFANYA MIITO MINGI KATIKA MADHAMBAHU ILA NI MUNGU TO ANAWEZA KUJUA WALE WALIOOKOKA KWELI.

*NIMEONA WATU MAELFU WAKIANGUKA kwa ajili ya nguvu za Mungu NDIO NI VIZURI ndio hufanya watu wapatiwe mguzo wa Mungu.

*NIMEPITIA kwa KUHISI nguvu za Mungu kwa wingi mwilini mwangu KATIKA huduma, NDIO !.

*ILA nimefika mahali kujiuliza NA JE MIMI NI KRISTO HALISI?.YESU ALISEMA MTU YEYOTE AKITAKA KUNIFUATA lazima abebe msalaba wake.

ENYI wachungaji IMEFIKA WAKATI TUUKUMBATIE MSALABA, YESU ALISEMA BEBA MSALABA WAKE kila wakati.

Kitu utapata kwa msalaba ni Aibu.Hii ina maana kubeba aibu ya msalaba na kuufia mwili na kufika mwisho wa ubinafsi kama mchungaji.

Kutoka mwaka wa 1972 nilianza kusikia kuhusu injili ya kusulubiwa KUSULUBIWA KWAKE SIO KUHUSU UFANISI AU KUFAULU KWA MAISHA HAYA APANA ,Vile Utajaribu,Vile Utafanikiwa ,vile utatajirika,sio kuhusu vile mambo ya dunia hii itakuwa sawa apana LAKINI NI KUHUSU MSALABA WA KRISTO ..

NA MIMI NAFURAHI KURUDI KWA MWANZO WANGU NA WEWE PIA MSIMVUNJE MUNGU MOYO FURAHIA UKO HAI ILI KUREKEBISHA KULE ULIHARIBU UKIWA HAI .

JE UNAELEWA KILE NASEMA NI KUWA WAFU HAWAWEZI KUMSIFU LA HASHA .

FURAHIA UKO HAI UNAWEZA KUONDOA UPOTOVU WA INJILI ZA MASHAKA ULIZOPANDA NDANI YA WATEULE . JE UKO TAYARI KUREKEBISHA ? JE UKO TAYARI KUTEKELEZA WAJIBU HUO? .

Nilitazama mipango zilizowekwa kuhusu mkutano huu (HEALING OF THE NATION) yaani uponyaji wa nchi.

UPONYAJI WA NCHI YA KENYA HUTOKI KWANGU ILA UPONYAJI WA TAIFA UTAKUJA WAKATI WACHUNGAJI WA KENYA MTAKUMBATIA INJILI YA MSALABA WA KRISTO NA KUACHANA NA INJILI ZA SARAKASI NA UFANISI.

WAKATI WATU WA KENYA WATAKUBATIA INJILI YA MSALABA WAKRISTO JE NYINYI MTAFANYA HIVYO?.

OMBA MAOMBI YAKO BINAFSI SIKUOMBEI, JIOMBEE. 

Mwisho wa nukuu za Mchungaji Benny Hinn.

MY TAKE
THIS WAS GOD SPEAKING NOT BENN
I DISCERNED THIS Earlier IN THE SPIRIT
THE EXATLY WORDS I SAID
HEALING IS ON THE CROSS BUT NOT FROM BENNY.
Dkt.Nyaga ambaye amepewa dhamana ya kurusha mubashara mkutano mkubwa wa injili wa Benny Hinn jijini Nairobi, Kenya amesema siku ya kwanza ya mkutano huo maelfu ya watu wamemiminika katika Uwanja wa Nyayo jijini humo.

"Urejesho TV inatoa fursa kwa watu wote wakiwemo watumishi wa Mungu kuja kutangaza huduma zao, watapata punguzo kubwa mno."

ANGALIA MKUTANO MKUBWA WA PASTOR BENNY HINN LIVE DANI YA TV 5 UREJESHO TV KENYA 🇰🇪 UREJESHO TV TANZANIA 🇹🇿 UREJESHO TV AFRICA 🌍 NB TV KENYA 🇰🇪 EM TV KENYA 🇰🇪 XTV KENYA 🇰🇪GN TV KENYA 🇰🇪 BY APOSTLE DR PETER NYAGA BALOZI WA AMANI DUNIANI KOTE

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news