Balozi Mwadini awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais Macron

PARIS-Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Ali Mwadini amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Ufaransa, Mheshimiwa Emmanuel Macron, katika halfa iliyofanyika katika Ikulu ya Ufaransa ya Élysée jijini Paris.
Baada ya tukio hilo, Balozi Mwadini na Mhe. Rais Macron walizungumza machache yanayohusu kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na Ufaransa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news