Dkt.Nchimbi ateta na Diamond Platnumz


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akisalimiana, kuzungumza na kufurahia jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Group, Nasib Abdul Isack (Diamond Platnumz), ambaye pia ni mmoja wa wasanii nyota na maarufu wa Mziki wa Bongo Fleva na mfanyabiashara, walipokutana baada ya maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti Mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Hayati Alhaj Ali Hassan Mwinyi, huko Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news