Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 28,2024

TANGA-Jeshi la Polisi mkoani Tanga, limekamata pikipiki 72 kutokana na makosa mbalimbali, ikiwemo kujihusisha na uhalifu.Kwenye idadi hiyo pia wapo waliokamatwa wakijihusisha na makosa mbalimbali ikiwemo ya kutokuwa na namba za usajili, kung’oa bomba la kutolea moshi, kutokuwa na leseni na kutovaa kofia ngumu.



























Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news