Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 5,2024

DAR ES SALAAM-Chama cha ACT Wazalendo kimeridhia uamuzi wa Juma Duni Haji kujitoa kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa ACT Taifa. Chama hicho kimeeleza kuwa wamekubali ombi la mgombea huyo baada ya kuketi kwenye kikao cha Halmashauri Kuu iliyokutana kwenye Ukumbi wa Hakainde Hichilema tarehe 4 Machi, 2024.













Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news