Kamishna Jenerali Lyimo ashiriki Mkutano wa 67 wa CND jijini Vienna


Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA),Aretas Lyimo (wa pili kutoka kushoto) akishiriki Mkutano wa 67 wa Kamisheni ya Kupambana na Dawa za Kulevya Duniani (CND) unaofanyika jijini Vienna, Austria kujadili na kuweka mikakati shirikishi katika mapambano dhidi ya tatizo la dawa za kulevya.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news