Polisi wataja sababu sita marufuku namba za 3D katika magari

DODOMA-Jeshi la Polisi nchini limetaja sababu za kupiga marufuku namba za magari zilizoongezwa ukubwa (3D).

Jeshi hilo limesema sababu kubwa ni kwamba hazisomeki kwa urahisi hasa nyakati za usiku, kwani hazing'ai.

Pia,namba hizo hazisomeki kwa urahisi kwenye mifumo ya kielektroniki.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news