Rais Dkt.Samia, Dkt.Mwinyi wajumuika na wananchi katika hitma na dua maalum kwa hayati Ali Hassan Mwinyi


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisoma Juzuu wakati wa hitma ya Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki tarehe 29 Februari 2024. Khitma hiyo imeandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na kufanyika kwenye viwanja vya maonyesho Nyamazi mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wajane, Ndugu na Jamaa wakati wa hitma ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki tarehe 29 Februari 2024. Khitma hiyo imeandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na kufanyika kwenye viwanja vya maonyesho Nyamazi mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hitma ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki tarehe 29 Februari 2024. Khitma hiyo imeandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na kufanyika kwenye viwanja vya maonyesho Nyamazi mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
Baadhi ya Viongozi na Wananchi wakiwa kwenye hitma ya ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki tarehe 29 Februari 2024, khitma hiyo imefanyika katika viwanja vya maonyesho Nyamazi mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
Baadhi ya viongozi na wananchi wakiwa kwenye hitma ya ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki tarehe 29 Februari 2024, khitma hiyo imefanyika katika viwanja vya maonyesho Nyamazi mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
Picha mbalimbali juu zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, akijumuika pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi, viongozi na wananchi katika hitma na dua maalum aliyoiandaa kwa ajili ya kumuombea hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi katika Viwanja vya maonesho Nyamanzi tarehe 3 Machi 2024 Mkoa wa Mjini Magharibi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news