Tanzania, Eswatini zajadiliana kuanzisha ushirikiano katika Sekta ya Usafiri wa Anga

MBABANE-Mheshimiwa Phaustine Kasike, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji, Eswatini na Madagascar amekutana na uongozi wa Shirika la Ndege la Eswatini, jijini Mbabane.
Mhe. Balozi Kasike na Mhe.Chief Ndwandwe, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Eswatini wakiwa pamoja na uongozi wa Shirika la Ndege la Eswatini.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Machi 28,2024 na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Maputo,Msumbiji.

Aidha, pande hizo mbili zimekubaliana kuanza mapema mazungumzo kwa ngazi ya wataalamu wa nchi hizo ili kubaini maeneo ya ushirikiano na hatimaye kusaini mkataba wa kuanzisha rasmi Ushirikiano katika Sekta ya Usafiri wa Anga (BASA).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news