DC Mpogolo aipa kongole BoT


Mkuu wa Wilaya ya Ilala mkoani DaresSalaam, Mhe. Edward Mpogolo ameipongeza Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa jitihada inayofanya katika kutoa elimu kwa umma kuhusu majukumu ya msingi ya BoT.
Mhe. Mpogolo ametoa pongezi hizo Aprili 24, 2024 alipotembelea banda la BoT kwenye Maonesho ya Biashara ya Miaka 60 ya Muungano yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news