Dkt.Biteko ateta na ujumbe kutoka Uganda


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Aprili 27, 2024 jijini Dar es Salaam amekutana kwa mazungumzo na Ujumbe kutoka Uganda uliongozwa na Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini wa nchi hiyo, Mhe. Ruth Nankabirwa Ssentamu kuzungumzia masuala ya Nishati kati ya nchi hizo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news