Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 2,2024

MBEYA-Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbugani wilayani Chunya, Herieth Lupembe (37) na mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Isenyela, Ivin Tatizo (15) wameuawa na vitu butu kichwani wakiwa nyumbani kwao Kijiji cha Kiwanja wilayani humo.

Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema kuwa tukio limetokea Machi 31, 2024 majira ya saa 2:30 usiku wakati marehemu akiwa nyumbani kwake sebuleni.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news