Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 10,2024

IRINGA- wa Polisi mkoani Iringa, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Allan Bukumbi amethibitisha kukamatwa kwa watu 16 Raia wa Ethiopia waliokuwa wakisafirishwa kwa kutumia gari aina ya Toyota Land Cruiser V8, katika eneo la Msitu wa Lunganga, Kata ya Sao Hill mkoani Iringa.

Kamanda Bukumbi amesema, zoezi hilo lilifanikiwa kwa ushirikiano wa majeshi ya polisi na uhamiaji, mkoani Iringa; ambapo watu hao wamekamatwa katika msitu huo uliopo katika Tarafa ya Ifwagi, Halmashauri ya Mji wa Mafinga, wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news