Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 8,2024

PWANI-Kata tano katika Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani zenye kaya 3,290 nyumba zao zimezingirwa na maji kutokana na mvua inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali.

Hayo yamethibitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibiti, Kanali Joseph Kolombo ambapo kata hizo ni zile zilizopo Bonde la Mto Rufiji huku waathirika wa mafuriko hayo ni wakazi 19,740 ambao baadhi yao waliwahi kuondoka kabla ya mafuriko na wengine bado wanaendelea kuhamishwa na boti za maliasili.



















Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news