Tunduma, Songwe yaitikia ziara ya Dkt.Nchimbi

SONGWE-Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika katika Mji wa Tunduma, Wilaya ya Mbozi, mkoani Songwe, leo Jumatatu, Aprili 15, 2024, akiambatana na Wajumbe wa Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, Ndugu Issa Haji Usi Gavu, Katibu wa NEC - Oganaizesheni na Ndugu Amos Gabriel Makala, Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo. Balozi Dk Nchimbi ameingia mkoani Songwe kwa ziara ya siku mbili, tarehe 15 na 16, Aprili, 2024, akitokea Mkoa wa Rukwa, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake katika mikoa 6 ya Katavi, Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe na Ruvuma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news