VIDEO:Dkt.Biteko awaachia Wakenya ujumbe mzito maziko ya Jenerali Ogolla

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,Dkt. Doto Biteko amewaasa Wakenya na vijana wa Kenya kuwa, "chukueni maisha ya Jenerali Ogolla kama funzo la maisha,kwani hakika kwa mazuri mengi yaliyosemwa na waliotoa rambirambi ni wazi kuwa alikuwa mtu mwema wa kupigiwa mfano," alisema Dkt. Biteko ambaye alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan katika maziko ya Jenerali Ogolla nchini Kenya.
Mkuu wa Majeshi ya Kenya, Jenerali Francis Omondi Ogolla amezikwa hii Aprili 21,2024 nyumbani kwake Ng'iya, Kaunti ya Siaya Magharibi mwa Kenya.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news