Rais Dkt.Samia ateta na ujumbe kutoka China Railway Construction Corporation (CRCC)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa China Railway Construction Corporation (CRCC) Ndugu Dai Hegen ambaye ameongozana na Viongozi wengine pamoja na Balozi wa China nchini Tanzania Ndugu Chen Mingjian, Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 11 Mei, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mwenyekiti wa China Railway Construction Corporation (CRCC) Ndugu Dai Hegen wakati wa kikao kilichojumuisha Viongozi wa CRCC na CCECC kutoka China, Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 11 Mei, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa China nchini Tanzania Ndugu Chen Mingjian kabla ya kuanza kwa mazungumzo yaliowahusisha Viongozi wa China Railway Construction Corporation (CRCC) na China Civili Engineering Construction (CCECC) Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 11 Mei, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa China Railway Construction Corporation (CRCC) na China Civili Engineering Construction (CCECC) na Balozi wa China nchini Tanzania Ndugu Chen Mingjian mara baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 11 Mei, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa China Railway Construction Corporation (CRCC) Ndugu Dai Hegen mara baada ya kumaliza mazungumzo, Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 11 Mei, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news