Waziri Mkuu katika ibada ya kuwekwa wakfu Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la Mbeya


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuwakilisha Makamu wa Rais. Dkt Philip Isdor Mpango kwenye mapokezi na maadhimisho ya sherehe ya kuwekwa wakfu kwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Mbeya, Geofrey Jackson Mwakasega na Jubilei ya Miaka 125 ya Uinjilishaji jimbo kuu la Mbeya.

📍Uwanja wa Sokoine-Mbeya

🗓️Mei 26, 2024

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news