Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 20,2024

DODOMA-Serikali imekipongeza Chama cha Sekta Binafsi ya Ulinzi Tanzania (TSIA) kwa kutimiza miaka 20 ambapo kimetoa ajira kwa vijana wapatao 3,000 nchini, hivyo kupunguza wimbi la vijana wanaojiingiza katika shughuli zisizo rasmi zikiwemo za kiuhalifu nchini.Hayo yamebainishwa Juni 19,2024 katika hotuba ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa iliyosomwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo (Mb) katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa kazi wa 16 wa TSIA jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news