Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 8,2024

DAR-Tume ya Tehama nchini (ICTC) na Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) zimesaini Mkataba wa Maelewano (MoU) kwa ajili ya kujenga Maabara ya Kutengeneza, Kukarabati na Kuunganisha Vifaa vya Kieletroniki nchini.
Maabara hiyo ya kisasa ambayo inatarajiwa kujengwa na tume ndani ya shirika hilo inatarajiwa kuwa fursa kubwa kwa vijana kustawisha bunifu zao nchini.

Pia, taasisi hizo za umma zitashirikiana katika sekta zingine kama kuunganisha vifaa vya kielektoniki, kufanya matengezo vifaa vilivyoharibika, Endelea kusoma zaidi hapa》》》Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news