Waziri Mavunde anogesha bonanza Tume ya Madini

DODOMA-Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba wameongoza watumishi wa Tume ya Madini kwenye Bonanza la Michezo lililofanyika katika Viwanja vya Kilimani jijini Dodoma.
Bonanza hilo lenye lengo la kuimarisha umoja kwa watumishi wa Tume ya Madini limeshirikisha mazoezi ya viungo, mpira wa miguu, kuvuta kamba na kukimbia na magunia ambapo washindi wamekabidhiwa tuzo mbalimbali.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news