Yaliyojiri banda la Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) maonesho ya Sabasaba

Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Julai 6,2024 ametembelea Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu ambapo lipo Banda la Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba).
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ametembelea Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu ambapo lipo Banda la Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba). Rais Kikwete amepongeza jitihada zinazofanywa na DCEA katika mapambano dhidi ya tatizo la dawa za kulevya nchini.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Deogratius John Ndejembi akipata maelezo kutoka kwa Kamishna msaidizi wa Kinga na Huduma za Jamii Bi Moza Makumbuli wakati alipotembelea Banda la ofisi ya Waziri Mkuu katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) leo.

Watu wa makundi mbalimbali wameendelea kujifunza mengi kuhusu tatizo la dawa za kulevya walipotembelea banda la Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi mpya wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai akipata maelezo kutoka kwa Kamishna msaidizi wa Kinga na Huduma za Jamii wa DCEA,Bi.Moza Makumbuli wakati alipotembelea Banda la ofisi ya Waziri Mkuu katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) leo.
Mkurugenzi mpya wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Ramadhan Kingai akifafanua jambo baada ya kupata maelezo kutoka kwa Kamishna msaidizi wa Kinga na Huduma za Jamii wa DCEA,Bi.Moza Makumbuli wakati alipotembelea Banda la ofisi ya Waziri Mkuu katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) leo.
Baadhi ya wananchi wameendelea kujifunza kuhusu dawa za kulevya na utendaji wa Mamlaka katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) yanayoendelea jijini Dar es salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news