DODOMA-Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa mafunzo kuhusu kazi zake kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari John Merlini walipofanya ziara katika ofisi za makao makuu ya BoT jijini Dodoma.
Katika ziara hiyo, wanafunzi wamepata fursa ya kujifunza kuhusu majukumu ya BoT katika kusimamia sera ya fedha, kudhibiti kiwango cha mfumuko wa bei, na kuhakikisha uthabiti wa uchumi wa nchi.