RUVUMA-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amefika Wilaya ya Nyasa iliyopo mkoani Ruvuma ikiwa ni zaidi miaka 14 ikiwa hakuna Rais aliyewahi kukanyaga huko, Rais Dkt.Samia amefika pasipofika kwa kuwajengea barabara na huduma za maendeleo.