VIDEO:Katibu Mkuu Msigwa afunguka kuhusu Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa mkoani Ruvuma
"Tunaandaa matamsha haya ya utamaduni ili kukumbuka, kuenzi, kuendeleza na kudumisha utamaduni wa Mtanzania," amesema Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa leo Septemba 21,2024;