NEW YORK-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 21, 2024 amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres kwenye Ofisi za makao makuu ya umoja huo, New York nchini Marekani.
Mheshimiwa Majaliwa yupo nchini humo kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79).
Tags
Habari
Ofisi ya Waziri Mkuu
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Prime Minister Office Tanzania
UNGA79