Rais Dkt.Mwinyi ateta na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya City & Commercial Insurance ya Uingereza
LONDON-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya City & Commercial Insurance ya Uingereza, Niraz Buhari jijini London tarehe 8 Aprili 2025.