TRA yaendesha Kliniki ya Kodi kwa Diaspora wa Tanzania nchini Comoro

MTWARA-Maafisa wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Mkoa wa Mtwara wameendesha kliniki ya Kodi kwa Diaspora wa Tanzania wanaoishi katika visiwa vya Comoro na kusikiliza changamoto zinazowakabili na kupokea maoni ya Diaspora hao.Maofisa hao pia wametembelea Ofisi za Mamlaka ya Mapato nchini Comoro na kubadilishana nao uzoefu.
Ziara hiyo ya maafisa wa TRA Mkoani Mtwara imeratibiwa na Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news