Uwasilishaji wa Bajeti ya Wizara ya Nishati 2025/2024 bungeni Dodoma
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiwasilisha Hotuba ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake kwa mwaka 2025/2026 bungeni jijini Dodoma.