Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akiwasili kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali uliofanyika jijini Dodoma.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akiwaongoza wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kuimba wimbo wa mshikamano daima wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Baraza wa Ofisi hiyo uliofanyika jijini Dodoma.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimkaribisha Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) kufungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali uliofanyika jijini Dodoma.

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali uliofanyika jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano wa Baraza hilo uliofanyika jijini Dodoma.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali uliofanyika jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano wa Baraza hilo uliofanyika jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Asha Hayeshi akizungumza na wajumbe wa Baraza wa Ofisi hiyo wakati wa Mkutano wao uliofanyika jijini Dodoma.Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mipango wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Theresia Mpangala akiwasilisha taarifa ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2025/2026 wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa ofisi hiyo uliofanyika jijini Dodoma.
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakichangia mada kuhusu taarifa ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2025/2026 wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo uliofanyika Jijini Dodoma.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kufungua mkutano huo uliofanyika jijini Dodoma.Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kufungua mkutano huo uliofanyika jijini Dodoma.











