Waziri Mkuu aelekea Somanga kukagua miundombimbu ya barabara

LINDI-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa asubuhi Hii Aprili 16, 2025 amewasili eneo la Somanga kukagua Miundombinu ya barabara kuu ya Dar es Salaam-Lindi ambayo imeathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini.
Mheshimiwa Waziri Mkuu ameambatana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stegomena Tax pamoja na Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news