HomeHabari Waziri Mkuu kufungua Mkutano wa 73 wa ACI Afrika ARUSHA-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 28, 2025 amewasili mkoani Arusha ambapo atafungua Mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la viwanja vya ndege kwa Kanda ya Afrika (ACI Afrika) unaofanyika kwenye Hotel ya Mount Meru. Tags Habari Ofisi ya Waziri Mkuu Picha Picha Chaguo la Mhariri Facebook Twitter