Rais Dkt.Mwinyi ateta na Ujumbe kutoka Chuo cha NDC

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa(NDC), Balozi Meja Jenerali Wilbert Ibuge na ujumbe wa Wakufunzi waandamizi elekezi pamoja na Wanafunzi 61 wa Chuo hicho kutoka Mataifa 17 mbalimbali ikiwemo Tanzania na Watumishi Waandamizi wa Serikali waliofika Ikulu Zanzibar leo Aprili, 2025.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news