AfIGF 2025:Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA,Dkt.Nkundwe Mwasaga atazungumza
DAR-Jukwaa la 14 la Utawala wa Mtandao Afrika (AfIGF 2025) litafanyika kuanzia tarehe 29 hadi 31 Mei, 2025 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania.