NI KESHO:Waziri Balozi Kombo atawasilisha bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi mwaka wa fedha 2025/2026
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo kuwasilisha bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa mwaka wa Fedha 2025/2026 tarehe 28 Mei, 2025.