Balozi CP Hamad ateta na wadau wa masuala ya udhibiti wa biashara haramu ya wanyamapori na mazao ya misitu

MAPUTO-Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji ambaye pia anaziwakilisha Madagascar na Ufalme wa Eswatini,Mheshimiwa CP Hamad Khamis Hamad amekutana na Bi. Linah Clifford, Afisa wa Masuala ya Kisheria na Ushirikiano na Bw. Allan Mashalla,Meneja wa Mradi kutoka Shirika la Kimataifa la TRAFFIC International Afrika Mashariki (TZ) linaloshughulika na Masuala ya Udhibiti wa Biashara Haramu ya Wanyamapori na Mazao ya Misitu.
Maafisa hao wapo jijini Maputo ili kukutana na wadau mbalimbali kwa lengo la kuimarisha ushirikiano baina yao.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news