Balozi CP Hamad ateta na Waziri Sharif Ali Sharif

DAR-Mei 10, 2025 Mheshimiwa Hamad Khamis Hamad, Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji amekutana na Mhe. Sharif Ali Sharif, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji (Zanzibar) kwenye Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi (Zanzibar) na kubadilishana mawazo kuhusu masuala ya ushirikiano katika Sekta ya Uwekazaji kati ya Tanzania/Zanzibar na Msumbiji.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news