Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 22,2025

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shiling 3589.27 na kuuzwa kwa shilingi 3525.44 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.88 na kuuzwa kwa shilingi 1.92.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 22,2025 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.70 na kuuzwa kwa shilingi 0.74 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1926.02 na kuuzwa kwa shilingi 1943.14 huku Fraka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3240.40 na kuuzwa kwa shilingi 3272.42.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2671.39 na kuuzwa kwa shilingi 2698.1 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8615.21 na kuuzwa kwa shilingi 8788.03.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 22nd,2025;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED727.363734.5166730.939822-May-25
2ATS171.4229172.9418172.182422-May-25
3AUD1723.57831741.62361732.600922-May-25
4BEF58.47458.991658.732822-May-25
5BIF0.90050.89490.897722-May-25
6CAD1926.01741945.13731935.577422-May-25
7CHF3240.40053272.40753256.40422-May-25
8CNY370.9074374.5644372.735922-May-25
9DEM1070.39551216.73061143.56322-May-25
10DKK406.2265410.2513408.238922-May-25
11ESP14.177114.302114.239622-May-25
12EUR3030.42043060.99453045.707422-May-25
13FIM396.7248400.2403398.482622-May-25
14FRF359.6034362.7844361.193922-May-25
15GBP3589.27443625.4373607.355722-May-25
16HKD341.1427344.5453342.84422-May-25
17INR31.243631.535731.389622-May-25
18ITL1.21821.2291.223622-May-25
19JPY18.597818.782518.690122-May-25
20KES20.716420.842820.779622-May-25
21KRW1.9481.96631.957122-May-25
22KWD8715.20998788.02688751.618422-May-25
23MWK1.43141.54151.486422-May-25
24MYR626.0572631.4299628.743622-May-25
25MZM41.468341.81841.643222-May-25
26NLG1070.39551079.88791075.141722-May-25
27NOK263.6141266.1321264.873122-May-25
28NZD1589.47481606.17891597.826822-May-25
29PKR9.00899.56439.286622-May-25
30RWF1.87921.9211.900122-May-25
31SAR712.2747719.3591715.816922-May-25
32SDR3624.18913660.4313642.3122-May-25
33SEK279.6824282.3964281.039422-May-25
34SGD2073.73562093.49782083.616722-May-25
35UGX0.70320.73780.720522-May-25
36USD2671.38612698.12684.743122-May-25
37GOLD8817257.2318907048.6638862152.94722-May-25
38ZAR149.0563150.5141149.785222-May-25
39ZMW95.441899.194997.318322-May-25
40ZWD0.49990.510.504922-May-25

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news