Hatimaye amepona baada ya kutupiwa uchawi wa mguu

MWANAMKE mmoja aitwaye Fatma Waithaka alikuwa akiugua jeraha sugu kwenye mguu wake wa kushoto kwa zaidi ya miaka 20 kitu ambacho kiliondoka furaha katika maisha yake kwa asilimia kubwa.

Alikuwa amejaribu matibabu mbalimbali, kuanzia antibiotics hadi upasuaji, lakini hakuna kilichoonekana kuponya kidonda chake licha ya hapo awali kuwa na matarajio makubwa kuhusu kupona kwake.
Fatma alikuwa na maumivu ya mara kwa mara na ilimbidi avae bandeji na kubeba mikongojo ili aweze kutembea, kutokana na kuumwa huko, alipoteza kazi yake, marafiki na tumaini lake la kuishi maisha ya kawaida kama watu wengine.

Katika kutafuta dawa ya mguu wake, Fatma alisikia kuhusu...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news