Kigogo wa Yanga SC ajiuzulu kutokana na uamuzi wa CAS

DAR-Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Yanga SC, Wakili Simon Patrick ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo kufuatia kushindwa kwa klabu hiyo kwenye kesi dhidi ya TFF, Bodi ya Ligi, na Simba SC katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS).
Kupitia mitandao ya kijamii, Patrick amesema anabaki kuwa mwanachama mtiifu wa Yanga huku akitangaza kupumzika na shughuli za soka.

“Vita dhidi ya wahuni haijawahi kuwa rahisi. Maamuzi ya CAS ni ya kuumiza, lakini viongozi wetu wamepinga uhuni kwa vitendo. Wana Yanga tuendelee kuwapa moyo,” amesema.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news