JINA langu ni Amina, wanaume wengi wamekuwa wakitamani kuwa na mimi na hata kunioa,lakini kila nikiwaambia kuwa nina mtoto waliacha mara moja kunifuatilia na wengine kukatisha kabisa mawasiliano.
Nikiwa shule ya msingi nilibeba ujauzito wa mwanafunzi mwenzangu na kujifungulia mtoto nyumbani kwetu na amekuwa akilelewa na hapo hadi sasa ingawa amekuwa mkubwa na kuanza shule ya msingi.
Siku zote nimekuwa nikijishughulisha na biashara mbalimbali na kuweza kuendesha maisha yangu bila kumtengemea mtu yeyote na kumuhudumia mtoto wangu wangu ambaye nampenda sana.
Unajua mwanamke akizalia kwao ni ngumu sana kuolewa kutokana na...SOMA ZAIDI HAPA
