DODOMA-Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo alivyowasili katika Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma tayari kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
Pia awapokea Mabalozi na Wakuu wa Taasisi za Kimataifa zinazowakioisha nchi zao nchini maalum kusikiliza Hotuba ya Bajeti ya Wizara jijjini Dodoma