CHUO cha Ustawi wa Jamii kimefungua rasmi mfumo wa maombi ya kujiunga na kozi za Cheti cha msingi na Diploma zitakazotolewa katika mwaka wa masomo 2025/2026 katika Kampasi za Dar es Salaam na Kisangara, Mwanga, Kilimanjaro.
#Udahili20252026
#chuochaustawiwajamii
#Apply Via oas.isw.ac.tz

