Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele Mei 12,2025 ametangaza kuwa, tume hiyo imekubali kuanzisha Majimbo mapya ya uchaguzi nane katika Mikoa mbalimbali nchini ambapo kwa Mkoa wa Dar es salaam yameanzishwa Majimbo mapya mawili ambayo ni Jimbo la Kivule na Jimbo la Chamazi.SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo