
Tabia ya utapeli yamtokea puani baada ya kuchukuliwa hatua kali
KUWA na makazi mazuri ni sehemu ya mambo matatu ya muhimu (basic needs) kwa binadamu yeyote, ukiachilia mbali chakula na mavazi, hivyo katika kutafuta kwangu maisha, nilijitahidi sana niweze kujenga nyumba.
Ni kwa sababu wazazi wangu wenyewe hawakuwahi kuwa na nyumba yao hadi tunazaliwa na kuwa watu wazima, nao walitulea kwenye nyumba hizo za kupanga toka tunazaliwa hadi tukawa watu wazima na kuanza kujitemea na kufanya maisha yetu.

Siku zote ndoto yangu ilikuwa ninunue shamba halafu nijenge nyumba ili wazazi wangu waje kuishi hapo na baadaye nijenge hapo pembeni nyumba yangu na familia yake.
Kwa kweli sikupenda kuona wazazi wangu wanafikia hatua ya uzee wakiwa kwenye nyumba za kupanga kwani itafikia muda watakosa nguvu za kufanya kazi na watashindwa kulipa kodi.
Hatimaye nilifanikiwa kununua shamba heka moja na mara moja...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo



















