HomeHabari Mkutano wa CHADEMA Itilima muda huu Jahazi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) limezidi kuzama baada ya leo mkutano wa chama hicho huko Itilima mkoani Simiyu kususiwa na wananchi wakiwemo wanachama. Tags Habari Facebook Twitter